Mwanamuziki maarufu nchini apotezwa na pombe
-Kitambo, alipokuwa akishirikiana na Sanaipei Tande na Kelvin Waweru katika muziki, Pam alikuwa wa kuvutia -Binti huyo alihusika katika kutoa kibao cha Leo, Sakalakata na Leta Wimbo -Kundi hilo baadaye lilisambaratika ambapo Sanaipei alijiunga na radio, na Waweru kurudi shuleni. Hata hivyo, Pam alianza kulewa